Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wilaya ya Ilala, Dar es Salaam imeagizwa kufanya uchunguzi wa kina wa upatikanaji wa hati ya kiwanja kinachodaiwa kuwa na mgogoro maeneo ya Kinyerezi, Dar es Salaam.
Hatua hiyo imechukuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo baada ya kutembelea eneo la kiwanja hicho kufuatia mgogoro ulioibuka kati ya wanaodaiwa kuwa wamiliki wa viwanja viwili vinavyopakana huku mmoja wa wamiliki hao akidaiwa kupata hati kwa njia inayotia mashaka.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)