Mahakama mkoa wa Geita imesema imefanikiwa kumaliza changamoto ya mlundikano wa kesi kupitia matumizi ya mfumo ya TEHAMA hali iliyoifanya Mahakama mkoani humo kupewa tuzo.
Ester Sumira amehudhuria maadhimisho ya Siku ya Sheria mkoani humo.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)