MSHIKEMSHIKE: Baada ya mambo kuwa magumu kwa Simba SC Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, ifanye nini kurejea kwa nguvu msimu ujao?
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mshikemshike