Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu amebainisha siku ya Jumapili, Septemba 21, kwamba hakutakuwa na taifa la Palestina, katika video iliyoelekezwa kwa viongozi wa Magharibi ambao wamelitambua taifa al Palestina hapo awali. Waziri Mkuu wa Israel pia amesema kuwa Israel itapanua zaidi makaazi ya walowezi katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
‘Haitatokea’: Benjamin Netanyahu awajibu viongozi wanaotambua taifa la Palestina