Askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Kutuliza Ghasia, Kabongo Mkiramweni ambaye siku za karibuni alipewa usafiri na jeshi ilo kufuatia kupata ulemavu wa kudumu akiwa kazini kutokana na kupata ajali iliyomsababishia kuvunjika mara 13 anasema “Bado inawezekana kusimama na kuendelea mbele”.

Mwandishi wetu Theresia Mwanga amefika nyumbani kwake na kutuandalia simulizi zaidi.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *