FOUNTAIN GATE vs NAMUNGO: “Wao kwa sababu wapo nyumbani naona wanaweza kupata matokeo mazuri…”
Mchambuzi wa soka @akingamkono amesema faida ya kuwa nyumbani kwa timu ya Fountain Gate FC pamoja na mapumziko iliyopata inaipa nafasi ya ushindi katika mchezo wake wa leo dhidi ya Namungo FC.
Kingamkono amesema Fountain Gate ina historia nzuri ya matokeo dhidi ya Namungo katika michezo minne iliyopita, hivyo anatoa nafasi kwa klabu hiyo kupata ushindi.
Ni mchezo wa NBC Premier League ambao utapigwa saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate