Kikao cha viongozi wa ngazi za juu cha baraza kuu la Umoja wa Mataifa kinafunguwa milango yake leo katika makao makuu ya Umoja wa mataifa mjini New York+++Wahamiaji kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanaoishi nchini Afrika Kusini, wameguswa na kifo cha mtoto wa mwaka mmoja mwenye asili ya Malawi kilichotokea baada ya wafuasi wa kundi la “Operation Dudula”