Mtaalamu wa kilimo kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi ya Kilimo (SUA), Dkt. Richard Madege, amesema teknolojia ya kisasa haiwezi kuepukika kwa wale wanaotaka kilimo kuwa biashara, kwani hurahisisha shughuli za kilimo na kusaidia kuongeza uzalishaji wa mazao mashambani.

#AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *