VIWANJANI: “Simba hawana tena cha kupoteza…”
Mchambuzi wa soka, Philip Nkini amesema mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Atletico De Luanda dhidi ya Simba SC ni mchezo wa kuonesha Simba aliteleza hakuanguka.
Nkini amesema klabu hiyo inapaswa kuonesha ukubwa wake kwa kushinda mchezo wa kesho.
Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @@allymufti_tz
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika