Kuelekea ufunguzi wa Soko la Kimataifa la Kariakoo unaotarajiwa kufanyika kesho na Rais Samia Suluhu Hassan, mwandishi wetu Jafari Mponda amefanya mahojiano na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo…aliyesema kuwa serikali inafanya jitihada za kubaini na kuorodhesha changamoto zote zilizopo katika soko hilo, kwa lengo la kuzitatua na kuwarahisishia wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwa uhuru na kwa ufanisi.

#AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *