#HABARI: Jeshi la polisi mkoani Songwe, linamshikilia mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kwa ajili ya upelelezi, kwa tuhuma za kuhusika na tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha aina ya Bunduki, ambapo akiwa na wenzake alimjeruhi maeneo ya kiuno Bw. Yengo Mwapina mkazi wa eneo la Sogea, alipokuwa akitoka benki , tukio ambalo limetokea Februari 04 mwaka huu majira ya asubuhi, katika eneo la Kisimani Kata ya Tunduma wilayani Momba mkoani humo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe SACP Augustino Senga, amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa katika moja ya mkoa jirani, baada ya kupata taarifa fiche za kiitelejensia, ambapo wanaendelea kuwasaka watuhumiwa wengine waliohusuka na tukio hilo, huku akitoa onyo kali kwa watu wote wanaojihususha na matukio ya ujambazi .

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *