KUTOKA ANGOLA: “Tulikuja hapa kwa ajili ya kupigania heshima ya Mnyama”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally anasema kama hatua ya makundi ingeanza sasa, basi timu hiyo ingeshinda mechi zote sita.

Ahmed amezungumza hayo baada ya Simba kutoka sare na Petro Atletico kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *