“Mafanikio huanza kwa mtu kuwa na maono, mtu asiyekuwa na maono huwa anaenda popote na akifika popote anahisi amefanikiwa” Mshauri Mwelekezi wa stadi za maisha fedha na uchumi Mhandisi Kabenda Balete, ameeleza kuwa kutokuwa na sababu katika vitu unavyofanya humfanya mtu kuishi lakini si kuishi katika kuhakikisha malengo uliyonayo yanatimia.

✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | @allymufti _tz

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *