#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, ambaye yupo katika ziara ya kikazi nchini, ametembelea kituo cha urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika kilichotumika kuwahifadhi na kutoa mafunzo kwa wapigania uhuru wa nchi za Kusini Mwa Bara la Afrika , wakiwemo Wanamibia kilichopo wilayani Kongwa mkoani Dodoma na kusema kuwa Tanzania itaendela kuwa alama ya kudumu ya ukombozi wa nchi nyingi za Barani Afrika ikiwemo Namibia huku akisisitiza nchi za Afrika kuungana kujikomboa kiuchumi.

Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
‎Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
‎Capitalradio Tanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *