EVODY: Beki aliyewazima mastaa Simba akiichezea Mtibwa Sugar HAROUB Evody ndiye aliyekuwa shujaa kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 kati ya wenyeji Simba na Mtibwa Sugar kwa kukabidhiwa tuzo ya mchezaji bora baada ya dakika 90 kutamatika. Post navigation Baada ya kukwama kimataifa, Barker apiga mkwara Simba Makonda: Gamondi kabaki yeye tu kusaini mkataba