NBC Premier League leo Jumatatu
Saa 10:00 jioni, JKT Tanzania watakuwa uwanja wa nyumbani Meja Jenerali Isamuhyo wakiwakaribisha Mashujaa FC kutoka Kigoma.
Ni mechi ya maafande hii, je nani kupigishwa kwata
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
#NBCPL #Azamtvsports #SisiNiSoka