DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: Mtangazaji @van_msumi yupo tayari na Meneja Mashindano wa TFF, Baraka Kizuguto kwa ajili ya droo ya mashindano ya CRDB Bank Federation Cup.
Hii ni droo ya 64 bora na itakuwa LIVE #AzamSports1HD muda sio mrefu kuanzia sasa.
#CRDBBankFederationCup