Zaidi ya wachimbaji wadogo 5,000 waliofukuzwa kwenye eneo la mgodi katika kijiji cha Kanyindo wilayani Chato wameiomba serikali iharakishe suluhu ya mgogoro kati yao na mwekezaji ili kurejesha utulivu na kuendelea kwa shughuli za kiuchumi.

Ester Sumira amefuatilia mgogoro huo.

Mhariri @moseskwindi

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *