ZIRO KOTEKOTE @azampesa
Huu ni Unafuu uliopitiliza, Ni rasmi sasa wateja wa Azampesa wanaweza kufanya miamala BURE kwa #AzamPesa
Miamala inayofanywa BURE ni pamoja na;
Kutuma pesa Azampesa – Azampesa
Kutuma pesa Azampesa kwenda mitandao mingine
Kununua LUKU/TUKUZA
Kufanya malipo ya serikali
Kulipia Bili (Vingamuzi vyote)
Kukata Tiketi
Kufurahia huduma hii jisajili sasa na Azampesa kupitia #AzamPesaApp
https://azampesa.sng.link/Cnr10/7ndd/avvy
#azampesa #jisajilisasa #zirokotekote usikubalikupigwa