UCHAMBUZI MECHI ZA CAF: Uchambuzi unaendelea ndani ya studio za #AzamTV ukiangazia mechi za leo za Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa.
Saa 11:00 jioni ni Wydad AC dhidi ya Azam FC, katika dimba la Mohamed V, jijini Casablanca, nchini Morocco.
Mechi ni saa 11:00 jioni kwa saa za Afrika mashariki na itakuwa LIVE #AzamSports1HD
#CAFCC #KombeLashirikishoAfrika #CAFConfederationCup

(Feed generated with FetchRSS)