Baadhi ya wafanyabiashara na madereva wanaofanya shughuli zao katika kituo kipya cha mabasi Nangulukulu kilichopo Kilwa, mkoani Lindi, wameziomba mamlaka husika kuhakikisha mabasi na magari ya usafiri wa abiria yanaingia na kutumia rasmi kituo hicho, pamoja na kuanzishwa kwa ofisi za kukatia tiketi ili na wao waweze kunufaika na uwepo wa kituo hicho pamoja na kuongezea halmashauri mapato.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *