#BSSNextLevelRevolution | Sikiliza ‘mastori’ tumepiga na baadhi ya washiriki ambao jana walifanikiwa kuingia mchujo wa pili (leo). Wanakuambia kwenye duara cha BSS sio poa 😅
#BongoStarSearch itaanza kuruka hewani kuanzia Machi 21, 2026 ndani ya @sinemazetuhd na @azamtvmaxapp
#BSS #Code16 #BSSSeason16
(Feed generated with FetchRSS)