#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Ndugu Jabiri Makame amewatakata Madiwani wa Mkoa wa Songwe kutambua kwamba nafasi zao ni za kuongoza na siyo kutawala watu, kwani kutawala ni kushurutisha na kuongoza ni kuonesha njia na kuwafanya unaowaongoza wakusikilize na kukufuata.
Amesema unaowaongoza wanakusikiliza siyo kwa sababu ya nafasi yako au vitisho, la hasha bali kwa sababu wana imani ya dhati juu yako.
RC Makame ameyasema hayo alipokuwa akifungua semina ya siku 3 ya kuwajengea uwezo Madiwani waliochaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.