#HABARI: Watoto watatu wa familia moja, waliokuwa wanaishi Kijiji cha Kwangahu Kitongoji cha Mweka Kata ya Kitumbi huko wilayani Handeni mkoani Tanga, wamepoteza maisha baada ya nyumba yao kushika moto uliotokana na jiko la mkaa lililokuwa na moto huku pembeni yake kukiwa na mafuta ya petroleum.

Kwenye ajali hiyo pia baba na mama wa watoto hao, wa wamejeruhiwa vibaya wakati wakiwa kwenye harakati za kuwaokoa watoto wao, bila ya mafanikio.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *