#HABARI: Wafuasi wa Chama cha Demokrasia waliofika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wao Tundu Lissu, wameanza kwa maombi kama kawaida yao wakimtanguliza Mungu, muda mfupi kabla ya kuanza usikilizwaji wa kesi hiyo, ambapo leo shahidi wa 11 anatarajiwa kutoa ushahidi.

Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *