#HABARI: Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amemwambia Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho, John Heche, “njoo unitembelee bana, ujee” wakati wakizungumza mahakamani leo.

Kauli hiyo ilitolewa mara baada ya kesi inayomkabili Lissu kuahirishwa hadi kesho, huku viongozi hao wakionekana kubadilishana maneno kwa hali ya kawaida wakati wa kuondoka mahakamani.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M -Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#CapitalDigital #ITVUpdates

Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *