#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema walitoa tahadhari ya kusafiri kwa Wamarekani wanaoishi nchini na wale wanaotaka kuingia nchini wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ili waweze kufanya maamuzi sahihi.

Amesema, walifikia hatua ya 3 ya tahadhari kutoka ya pili kutokana na matukio ambayo yalikuwa yakitokea nchini ambayo kimsingi kwa sasa hayapo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *