#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mhe. Ado Shaibu Ado amesema kuwa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kinapaswa kukamilisha ujenzi wa Kampasi ya Chuo hicho katika Kijiji cha Darajambili Wilayani Tunduru.
Ado ametoa kauli hiyo kwenye Kikao cha Baraza la Mashauriano la Mkoa wa Ruvuma (RCC) kilichofanyika katika Ukumbi wa Songea Club Songe Mjini jana Februari 18, 2026.
Ado amesema chuo hicho ni muhimu kwa sababu Mkoa wa Ruvuma una uhaba wa Vyuo Vikuu na kujengwa kwake mbali na kutoa elimu kutaendelea kuifungua Wilaya ya Tunduru kiuchumi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania