Araghchi: Historia haitasamehe usuasuaji zaidi katika kukomesha janga la GazaAraghchi: Historia haitasamehe usuasuaji zaidi katika kukomesha janga la Gaza



Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ametoa wito wa kuchukuliwa hatua madhubuti za kimataifa kukomesha mauaji ya halaiki ya Israel yanayoendelea huko Gaza, akisema kuwa nchi zote zinapaswa kusimama upande sahihi wa historia ambao “hautasamehe” ucheleweshaji wowote zaidi wa kupunguza mateso ya watu wa Palestina.



Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *