Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Zainabu Katimba amesema Tanzania imeendelea kupiga hatua kubwa katika ukuaji wa matumizi ya teknolojia na kushauri kuwa inaweza kutumika kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wananchi.

Amesema hayo wakati akifungua mkutano wa siku mbili wa masuala ya teknolojia na msaada wa kisheria unaowakutanisha wadau kutoka nchi mbalimbali za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *