Pezeshkian: Migawanyiko kati ya mataifa ya Kiislamu inainufaisha Israel pekeePezeshkian: Migawanyiko kati ya mataifa ya Kiislamu inainufaisha Israel pekee



Rais wa Iran amesema umoja wa wananchi wa Iran na katika mataifa yote ya Kiislamu ndiyo kinga kuu dhidi ya vitisho vya maadui, akionya kuwa migawanyiko ni kwa maslahi ya Israel pekee.



Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *