Mvua za Masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini zimesababisha madhara baada ya Daraja la Ruaha kukatikaMvua za Masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini zimesababisha madhara baada ya Daraja la Ruaha kukatika

Mvua za Masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini zimesababisha madhara baada ya Daraja la Ruaha kukatika.

Daraja hilo ambalo liko kati ya eneo la Mikumi na Kilombero mkoani Morogoro limekatika leo mchana Jumatatu Machi 9, 2026 na kusababisha abiria walikuwa walisafiri kuelekea Ifakara na maeneo mengine kukwama.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ni mwa abiria walikuwa walisafiri kupitia njia hiyo amezungumza na Star TV digital na kuelezea tukio hilo lilomlazimu kubadili uelekeo wa safari yake.

“Mvua kali daraja la Ruaha kati ya Mikumi na Kilombero limekatika. Safari ya Ifakara nimegeuza sasa naelekea Njombe,” amesema Balile aliyekuwa kaika eneo hilo.

#StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *