Serikali ipo mbioni kuja na mwongozo utakaotumika katika hospitali zake zote ili kukabiliana na malalamiko ya wananchi kuhusu gharama kubwa za matibabu na upatikanaji wa dawa.
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati akisikiliza hoja mbalimbali za wananchi kupitia simu ya mkononi, utaratibu anaoufanya kila mwezi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)