“…..jingine ambalo tunaipongeza Serikali kupitia kwako Mheshimiwa Waziri baada ya maboresho kumekuwa na ongezeko kubwa sana la mapato, mapato yameongozeka lakini huduma zinazotolewa Kwa wananchi sasa zimekuwa bora, wanaotumia bandari tunashuhuidia wingi wa mizigo inayopitia sasa Bandari ya Dar es Salaam…..lakini leo hii kila ripoti iliyokuwa ikisomwa ya miaka mitano jinsi mabadiliko mpaka kufikia sasa mlipofika mnaenda juu….” Mhe.Selemani Kakoso – Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *