Miji makubwa nchini ikiwemo jiji la Arusha, Dodoma na Mwanza yanatarajiwa kuingizwa kwenye mpango wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo (TBA) kwaajili ya wananchi wa kawaida.

Mpango huo umetangazwa na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega wakati wa akitoa mrejesho wa ukaguzi wa majengo ya makazi yanayojengwa kwenye maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam kwa aijli ya watumisih wa umma uliofanywa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu.

Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *