#MICHEZO:Tuhuma za timu mbalimbali kuwa na tabia za kupulizia kemikali katika vyumba vya kubadilishia nguo za timu pinzani hazipaswi kupuuzwa.
@hoseamchopa kupitia Kambi ya Michezo ya Radio One, amezungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wachezaji Spata Mussa Kisoky, amesema yeye ni mmoja ya waathirika na aliumwa karibu wiki 3 na kupatiwa tiba hosptali karibu wiki 1, kutokana na kuwa mtu wa kwanza kuingia kwenye chumba ambacho kilikuwa kimepuliziwa kemikali.