“Tunamkumbuka hayati Rais Magufuli kuwa alikuwa mtetezi mkubwa wa wanyonge…hasa wananchi wa kawaida kwa kutetea haki zao na kusimamia kutatua changamoto zao, aliamini katika kulinda rasilimali za taifa na kuhakikisha zinawanufaisha Watanzania wenyewe, aidha alisimamia vema uwajibikaji na mapambano dhidi ya ufisadi na wizi wa mali za umma, hatua ambazo zilichangia kwa kiasi kikubwa katika kuimarika kwa nidhamu katika utumishi wa umma na kulinda rasilimali za umma”-Dkt.Hussein Mwinyi – Rais wa Zanzibar.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania