“Kati ya mambo ambayo ninayakumbuka vizuri sana, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kati ya vitu alivyokuwa ananisisitiza sasa na Watanzania kwa ujumla ni kumtegemea Mungu, wakati nimeugua alinishirikisha katika upendo wa familia, Watanzania wenzangu hili ni fundisho kubwa tulishike, asijifanye mtu ni mjanja, kumtegemea Mungu ni maarifa makubwa sana” Philip Mpango – Makamu wa Rais Mstaafu wa Tanzania.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania