#HABARI: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi, amewataka watumishi wa wizara hiyo kufanya kazi kwa bidii na weledi, ili kutimiza jukumu la msingi la kuhakikisha Nchi inakua salama.

Ametoa kauli hiyo wakati akifungua Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo jijini Dodoma, huku Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Gabriel Mwita akiahidi kuzingatiwa kwa ushauri na maoni yatakayotolewa katika Baraza hilo la Wafanyakazi wa Fungu 51.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *