#HABARI: Mkurugenzi Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa Prof. Abel Makubi akiwa na baadhi ya wajumbe wa kamati ya maadhimisho ya miaka 10 ya BMH.
Wamefikisha ujumbe wa maadhimisho ya miaka 10 ya hospitali hiyo, kwa Makamu wa Rais wa pili Mhe. Hemed Suleiman Abdullah Ofisini kwake Vuga Zanzibar.