Tanzania imeanza kusaka wawekezaji katika eneo la viwanda vya nguo ili kuongeza thamani ya zao la pamba, ambapo mikoa mitatu ya Shinyanga, Simiyu na Mara imetengwa mahususi kwa ajili ya uwekezaji huo.
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Kitila Mkumbo, amefanya ziara nchini China kwa lengo la kuhamasisha wawekezaji kuja Tanzania katika sekta za kimkakati ikiwemo viwanda vya nguo, uchenjuaji wa madini na utalii.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)