#HABARI: Wakazi wa Kata ya Ngoma wilayani Ukerewe mkoani Mwanza wameanza kuchukua hatua za kukabiliana na tishio la mamba katika maeneo yao kwa kuanza kuwavuna kwa kutumia njia za asili na kufanikiwa kuwavuna mamba watano tangu kuanza kwa zoezi hilo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *