Wananchi wa vijiji vya Ntinga na Chindi kata ya Msangano mkoani Songwe waliokuwa wakilazimika kuvuka mto Nkana kwa kutumia mitumbwi huku wakitozwa gharama kubwa wameondokana na adha hiyo kufuatia ujenzi wa daraja linalounganisha vijiji vyao na mji wa kibiashara wa Tunduma na Wilaya ya Momba.
Mhariri | @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)