NBC BANK: “…wakati tunaingia, ligi yetu ilikuwa namba 10 Afrika”
Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya NBC, ambao ni Benk ya Biashara ya NBC, wanatoa neno baada ya CAF kuitambua ligi hiyo kama ligi namba 5 kwa ubora barani Afrika.
Mkuu wa idara ya masoko ya benki hiyo, David Raymond, anaeleza siri ya kufikia mafanikio hayo na mikakati ya kuipandisha juu zaidi ligi hiyo ambayo mechi zake zote zinarushwa mbashara kupitia Kisimbuzi cha Azam TV.
“…tunaamini siku moja ligi yetu itakuwa namba”
#NBCPremierLeague #NBCPL
(Feed generated with FetchRSS)