MZIZIMA DERBY: “…tarehe 5 hatuna msamaha…sasa tuna watu….walitufanya kitu mbaya wakati timu yetu mbovu”.
Cheche za mashabiki wa Simba kuelekea Dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC, Aprili 5; Wenyewe wanasema hiyo mechi wanaitaka sana.
Je, wataweza kulipa kisasi, au wanajitutumua
#MzizimaDerby #SimbaSC #AzamFC #AzamSimba #Mashabiki
(Feed generated with FetchRSS)