MZIZIMA DERBY | “…tuna wachezaji wengi majeruhi”

Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge anaeleza jinsi wanavyojiandaa na mechi mbili zilizo mbele yao ikiwemo Dabi ya Mzizima dhidi ya Simba, itakayopigwa Aprili 5.

Ibenge anasema maandalizi yanakwenda vizuri licha ya kupitia changamoto ya kuwakosa wachezaji wake walioitwa katika timu za taifa na wengine majeruhi.

Simba vs Azam FC ni Aprili 05, 2026 LIVE #AzamSports1HD

#MzizimaDerby #AzamFC #SimbaSC #SimbaAzam #Ibenge

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *