MZIZIMA DERBY | “…ilishawahi kukaribia kutoa uhai wa mtu”

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabith Zakaria analeza ukubwa wa Dabi ya Mzizima kati ya Simba SC na Azam FC, akikumbushia baadhi ya matukio likiwemo lile lililokaribia ‘kuua mtu’.

Zaka pia anaeleza jinsi dabi hiyo ilivyowafukuzisha baadhi ya viongozi…

Simba vs Azam FC ni Aprili 05, 2026 LIVE #AzamSports1HD

✍️ @amosimasokotz

#MzizimaDerby #AzamFC #SimbaSC #SimbaAzam #ZakaZakazi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *