#FIFASeries “…tumecheza na timu ambayo haipendi kucheza”
Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi aumizwa na matokeo akilia na matumizi ya nafasi, afichua alichowaambia wachezaji wakati wa mapumziko, asema hajapenda staili ya uchezaji ya Liechtenstein (kupaki basi).
Kwa upande wake kocha wa Liechtenstein, Konrad Funfustuck amwaga furaha yake kwa ushindi, alia na hali ya hewa hasa kipindi cha kwanza…
Naye kiungo wa Taifa Stars, Novatus Dismas aomba radhi kwa matokeo ya leo, akisema ni matokeo ya “aibu”… na kuongeza kuwa:-
“..tulikuwa slow…tumekuja kustuka baada ya kufungwa goli….tulihisi ni mpinzani ambaye tunaweza kucheza naye na kumfunga tunavyoweza”
FT: Tanzania 0-1 Liechtenstein
#FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #Liechtenstein #Tanzania #LiechtensteinTanzania #TaifaStars
(Feed generated with FetchRSS)