Tanzania imepanda hadi nafasi ya tano kwa ubora wa viwango vya soka Afrika kwa mujibu wa Shirkisho la Soka Afrika (CAF), ikiishusha Tunisia.
Bodi ya Ligi Kuu kupitia kwa afisa habari wake, Karim Boimanda imeeleza siri ya mafanikio hayo huku ikitoa pongezi kwa vilabu ambavyo vimechangia zaidi pointi zinazoifanya Tanzania izidi kung’ara kimataifa.
(Feed generated with FetchRSS)