MZIZIMA DERBY: “…hajawahi kufurukuta…tunahitaji kumpiga hata mara tano”.
Mashabiki wa Azam FC wanasema mechi yon a Simba wameishamaliza…., wanasema Simba kwao ni kama muembe wa nyumbani…., wanasema wanamuamini kocha wao Ibenge “..ni mzee wa kusoma mchezo”
Je, wataweza kushinda tena, au wanajitutumua
#MzizimaDerby #SimbaSC #AzamFC #AzamSimba #Mashabiki
(Feed generated with FetchRSS)